Serikali kutangaza fursa zaidi kwa watanzania wengi kusoma nchini Marekani na nchi nyingine kote Duniani.

Na Mwandishi Wetu  Dodoma Serikali imesema kuwa itatangaza fursa zaidi kwa ajili ya watanzania wengi kusoma nchini Marekani na nchi nyingine kote Duniani. Miongoni mwa maeneo ambayo serikali inakusudia kuyawekea mkazo kwa wananchi kusoma nje ya nchi ni pamoja na eneo la Sayansi, Teknolojia na elimu tiba. Utekelezaji wa matakwa hayo ni maelekezo ya ilani